Kuwa Wakala wa Kidigitali, Tunza Rekodi za Miamala kwa urahisi

Smart Wakala Inakusaidia kutunza kumbukumbu za Miamala na Floats zako.

Kuhusu Smart Wakala

Smart Wakala Ni Nini??

Ni Applikesheni maalumu kwa ajili ya Mawakala wa Kuweka na Kutoa Pesa

Je, App ya Smart Wakala Inamsaidiaje Wakala??

Smart Wakala Inamsaidia wakala kwa kutunza kumbukumbu za Miamala yake aliyofanya kila siku. Kwa kufuata Hatua hizi chache hapa chini.

  • Download App ya Smart Wakala.
  • Jisajili kwa kutumia Namba yako ya Simu
  • Sajili Akaunti zako (M-Pesa, Halopesa, Mix by Yas n.k).
  • Anza siku kwa Ingiza Floats zako na Cash Ulizonazo.
  • Fanya Miamala na Kurekodi katika App.
  • App Itakufanyia Hesabu na Kukusaidia Kufunga Siku.

Kuwa Wakala wa Kidigitali Leo. Tumia App ya Smart Wakala Kutunza kumbukumbuku za Miamala yako na Kufuatilia Kuongezeka au Kupungua kwa Floats Zako.

Mawakala Waliosajiliwa

Miamala Yote

Download Smart Wakala

Bofya Hapa Ku-download Applikesheni ya Smart Wakala (APK) na Kui Install katika simu yako

Download Hapa v2.1